Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Mukuru kwa Njenga waitaka serikali kuweka wazi mradi wa nyumba za bei nafuu

  • | NTV Video
    188 views
    Duration: 1:36
    Baadhi ya wakazi wa Mukuru kwa Njenga wameitaka serikali kuweka wazi maeneo mahususi yaliyotengwa kwa ajili ya mradi wa nyumba za bei nafuu, wakisema ukosefu wa taarifa wazi umeibua hofu na mkanganyiko miongoni mwa wakazi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya