Tanzania yasema jeshi lake liko tayari kutumikia UN pahali popote ulimwenguni

  • | VOA Swahili
    3,179 views
    Makamu wa Rais wa Tanzania amekiambia kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa nchi yake iko tayari kutuma wanajeshi wake popote ulimwenguni kwa ajili ya kulinda amani chini ya mpangilio wa UN. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.