Familia yaomba serikali kumrudisha jamaa yao aliyekwama Iraq

  • | Citizen TV
    861 views

    Familia moja kutoka mombasa inaiomba serikali ili kumresjesha mpendwa wao kenya baada ya kukwama nchini IRAQ tangu April mwaka jana. Vivian Achieng Abong'o aliondoka humu nchini akitafuta ajira na Maisha Bora ila kwa sasa wanadai anapitia madhila kutoka kwa mwajiri wake huku wakala akitaka dola 1,000 ili kumrejesha nyumbani.