Skip to main content
Skip to main content

Tofauti imeibuka kati ya makundi mawili kuhusu Jirongo kufanyiwa matambiko ya kuzikwa na tochi

  • | NTV Video
    2,206 views
    Duration: 3:24
    Tofauti sasa imeibuka kati ya kundi moja la wazee ambalo lilipendekeza Jirongo kufanyiwa matambiko ya kuzikwa na tochi. Kundi jingine kutoka jamii ya Tiriki limejitokeza na kupinga hatua hiyo vikali likisema inanuiya kumkosea heshima. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya