Skip to main content
Skip to main content

Familia ya polisi wa NPR aliyetoweka Desemba 23 wataka vyombo vya usalama kubaini aliko

  • | NTV Video
    203 views
    Duration: 1:49
    Familia ya polisi wa akiba NPR James Lojorin Learipanae kutoka Isiolo, ambaye alitoweka katika mazingira yasiyoeleweka tarehe 23 Desemba mwaka huu imelalamikia ulegevu wa vyombo vya usalama katika kubaini alipo ndugu yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya