Utundu barabarani | Utingo wa matatu wanaswa

  • | KBC Video
    31 views

    Polisi jijini Nairobi wamewazuilia wahudumu 3 wa basi la uchukuzi wa umma waliokamatwa kwa kuvunja sheria za trafiki. Kukamatwa kwao kunafuatia mchango wa umma baada ya kanda ya video ya utingo wawili wakionesha mchezo wa sarakasi huku wakining’inia kwenye mlango wa basi la uchukuzi wa umma lililokuwa mwendoni kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Huduma ya kitaifa ya polisi imetoa onyo kwa wale watakaojihusisha na vitendo kama hivyo kwamba serikali itawachukulia hatua za kisheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #utundubarabarani #News