- 313 viewsVijana wajasiriamali waleta mapinduzi makubwa katika soko la bajaji mjini Mombasa, Kenya ambapo wanauza bajaji mpya zinazotumia umeme zinazogharimu takriban dola 4,000. Mjasiriamali anaeleza kuwa TukTuk hizi mbali na kupunguza gharama ya mafuta kwa vijana wanaozinunua pia zitaleta mabadiliko makubwa katika kulinda mazingira na ni Rafiki kwa mazingira. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wajasiriamali Mombasa wauza pikipiki mpya rafiki kwa mazingira
- » MP Koech: Officers who included Kemosi in list of ambassadorial appointees should be held accountable6 May 2024 - Belgut MP Nelson Koech wants officers who included the name of Kenya's High Commissioner to Ghana nominee, Vincent Kemosi, in the appointee list to be held accountable.
- 6 May 2024 - The government has warned schools across the country against re-opening following the flood crisis occasioned by the ongoing heavy rains.
- 6 May 2024 - The floods in Kenya continue to wreak havoc, killing people and leaving many others displaced.
- 6 May 2024 - Dozens of families are still marooned in their homes within Nyando sub-county as rescue efforts continue to have them moved to higher grounds after River Nyando broke its banks.
- 6 May 2024 - He is set to serve for a five-year term effective May 13.
- 6 May 2024 - Chadians go to the polls on Monday three years after their military leader seized power, in the first presidential election in Africa's Sahel region since a wave of coups.
- 6 May 2024 - Israeli authorities raided a Jerusalem hotel room used by Al Jazeera as its office after the government decided to shut down the Qatari-owned TV station's local operations on Sunday
- 6 May 2024 - President William Ruto's cabinet had ordered a select category of Kenyans to vacate as floods continue to wreak havoc.
- 6 May 2024 - Despite Kyiv lowering the conscription age to find replacements, it's not just a numbers game.
- 6 May 2024 - The Authority urged motorists to use alternative routes to their destinations.