Mwandishi wa vitabu wa Ufaransa ashinda Tuzo ya Nobel katika fasihi

  • | VOA Swahili
    102 views
    Mwandishi wa vitabu wa Ufaransa Annie Ernaux Jumatano ameshinda Tuzo ya Nobel katika fasihi kutokana na mchango wa vitabu vyake vilivyoangazia maisha yake na kutokuwepo na usawa. Jopo la Nobel la Sweden limesema Ernaux ambaye anaumri wa miaka 82, ameangazia masuala ambayo yamegawanyishwa na jinsia, lugha na hadhi katika jamii. Endelea kupata maelezo juu ya mwandishi huyu... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.