Silas Obuhatsa amrithi Nicholas Maiyo kama mwenyekiti wa Chama cha wazazi

  • | KBC Video
    8 views

    Chama cha kitaifa cha wa waazi humu nchini kimetoa wito wa kuwepo kwa sera wazi kuhusu ustawi wa muundo msingi shuleni. Akiongea baada ya kuchukua wadhifa kama mwenyekiti wa chama hicho, Silas Obuhatsa alisema wazazi wanafadhili miradi ya maendeleo shuleni ilihali serikali hutoa pesa za kufadhikli miradi hiyo huku miradi mingine ikifadhiliwa na hazina ya ustawi wa maeneo bunge.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News