- 3,098 viewsKaunti kadhaa ambazo zinafikiria ziko katika hatari ya juu ya usambazaji wa COVID-19 zimeongezeka mara tatu katika muda wa wiki mbili zilizopita kwa mujibu wa CDC hapa Marekani. .- Huko New York kiwango cha tahadhari cha COVID kimepandishwa na kuwa juu zaidi na kesi zimeongezeka mara dufu mwezi uliopita - Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na viongozi wa Sweden na Finland Alhamisi baada ya nchi hizo kuweka kando msimamo wao wa muda mrefu wa kutoegemea upande wowote na kutaka kujiunga na umoja wa NATO. - Marekani yafungua ubalozi wake Kyiv, wafanyakazi washuhudia bendera ikipandishwa. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
CDC yatahadharisha ongezeko la maambukizi ya COVID-19 Kaunti kadhaa za Marekani
- - LIVE|| News Now ››
- 5 May 2024 - Kenya is currently experiencing heavy rains that have led to flooding and water bodies breaking their banks, which in turn have led to loss of lives and destruction of property.
- 5 May 2024 - The Kenya Renal Association has called for the immediate suspension of the operating licenses for Mediheal Hospital in Eldoret over alleged unethical kidney transplants performed in the facility.
- 5 May 2024 - Cyrus Jirongo, a former Member of Parliament and Minister in late President Daniel Moi's regime, has set the record straight on the controversy surrounding the infamous Youth for KANU 92 (YK92) movement, and the allegations of massive printing of money…
- 5 May 2024 - Motorists plying the Kisumu- Nairobi highway have been forced to persevere an hours-long snarl-up at the Ahero area after river Nyando burst its banks on Saturday night forcing water to flow over the Ahero bridge.
- 5 May 2024 - Kenya tobacco industry calls for factual, science-based approach in consideration of draft health warnings for tobacco products.
- 5 May 2024 - Interior Ministry confirms over 200 fatalities, mass displacements as rains wreak havoc
- 5 May 2024 - Flooding worsens in Kisumu after River Nyando breaks its banks, affecting Ahero, Muhoroni and parts of Nyakach.
- 5 May 2024 - All landowners have been urged to adhere to the directive within the stipulated time.
- 5 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Harambee Stars and St Mirren striker Jonah Ayunga has undergone an operation on a knee injury, ruling him out for […]
- 5 May 2024 - In this piece, we assess Kenya's disaster management and issues around responding to crises like the ongoing floods.