Mikopo inavyowapatia wanawake msongo wa mawazo

  • | BBC Swahili
    543 views
    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya afya ya akili duniani, tafiti nchini Tanzania zinaonyesha kuwepo kwa ongezeko kubwa la watu wenye changamoto ya afya ya akili huku ikikadiriwa kuwepo kwa watu elfu saba nchi nzima wenye changamoto hiyo, ambayo ni sawa na watu 260 kwa kila mkoa. Miongoni mwa sababu zilizotajwa ni pamoja na mabadiliko ya maisha na ongezeko la mahitaji mbalimbali huku kukiwa na rasilimali chache za kukidhi mahitaji hayo. Mwandishi wetu Aboubakar Famau, kutoka jijini Dodoma ametuandalia taarifa ifuatayo #bbcswahili #tanzania #dodoma