- 20,776 viewsDuration: 28:10Taifa la Uganda limejikita katika maandalizi ya siku ya uchaguzi hapo kesho alhamisi. Vifaa vya kupigia kura na vifaa vingine vimewasilishwa katika vituo mbalimbali vya kupigia kura tayari kutumika mapema kesho asubuhi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw