Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa UKIMWI waandamana Nairobi

  • | KBC Video
    1,214 views
    Duration: 3:09
    Watu wanaougua ugonjwa wa UKIMWI katika kaunti ya Nairobi wametoa wito kwa idara ya mahakama kufutilia mbali kesi inayopinga ufadhili wa dola bilioni 208 kutoka kwa serikali ya Marekani kwa sekta ya afya humu nchini. Watu kadhaa wanaougua ugonjwa huo waliandamana leo jijini Nairobi kuonyesha kutoridhishwa na kesi hiyo iliyowasilishwa mwezi jana na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah. Makundi haya yanasema kwamba kuzuia fedha hizo kunaweza kusambaratisha mafanikio ya miaka mingi na kuweka zaidi ya Wakenya milioni 1.4 hatarini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive