Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Benki ya Absa imetambuliwa kuwa mwajiri bora

  • | KBC Video
    213 views
    Duration: 3:13
    Vikwazo vya kifedha na mapengo katika ushirikishi ni baadhi ya changamoto zinazotatiza utekelezaji wa viwango vya usafi wa chakula na hivyo kuibua wasiwasi kuhusu afya ya wateja na uuzaji chakula nje. Waliohutubu kwenye mkutano wa maafisa wa ngazi za juu wa kamati ya kitaifa ya kanuni za kimataifa za Codex jijini Nairobi, walikariri haja ya Kenya ya kuupa umuhimu utekelezaji wa kanuni za Codex kama sera ya kitaifa. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive