Skip to main content
Skip to main content

Polisi wawadhulumu wanaume kadhaa Nandi Hills

  • | KBC Video
    277 views
    Duration: 3:23
    Uchunguzi kuhusiana na kisa ambapo picha za CCTV zinawaonyesha maafisa wa polisi wakiwadhulumu wanaume kadhaa waliokuwa wakicheza mchezo wa pool mjini Nandi Hills umeanza. Kulingana na halmashauri huru ya usimamizi wa polisi, IPOA, waathiriwa kadhaa na wale walioshuhudia kisa hicho wametambuliwa na kuzungumziwa. Inspekta jenerali wa huduma ya taifa ya polisi pia ameagiza uchunguzi wa kina na wa haraka kuhusiana na kisa hicho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive