Skip to main content
Skip to main content

Wazazi walalamikia gharama ya juu ya masomo

  • | Citizen TV
    423 views
    Duration: 2:54
    Wizara ya elimu sasa imeongeza muda wa wanafunzi kujiunga na gredi ya kumi hadi tarehe 21 Januari. Tangazo hilo linajiri wakati ambapo shule nyingi haswa za ngazi ya pili na tatu zikisajili idadi ndogo ya wanafunzi huku wazazi wakililia gharama ya karo pamoja na mahitaji ya shule. Laura Otieno sasa anadadisi gharama ya masomo ya gredi ya kumi ambayo imezua kiwewe kwa familia nyingi humu nchini.