Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wengi wa gredi ya 10 wamekosa karo

  • | Citizen TV
    817 views
    Duration: 3:32
    Saa chache baada ya wizara ya elimu kutangaza kuongezwa kwa muda wa kusajili wanafunzi wa Gredi ya 10 katika shule mbalimbali nchini, wazazi wengi wanasema tatizo kubwa si muda ila ukosefu wa pesa ndio unawasababisha kusalia na wana wao nyumbani. Runinga ya Citizen imepiga darubini maeneo mbalimbali na kuzungumza na wazazi kuhusu uhalisia wa mambo vijijini. Chrispine Otieno alitangamana na baadhi ya wazazi na watoto waliosalia nyumbani na hii hapa taarifa yake.