Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa mauaji ya Shakahoka akiri mashtaka na kutoa ushahidi mpya mahakamani Mombasa

  • | Citizen TV
    4,603 views
    Duration: 3:39
    Mmoja wa washukiwa wa mauwaji ya halaiki msituni shakahola kaunti ya Kilifi aliyebadilisha nia na kuwa shahidi wa serikali amefichua simulizi mpya za mauwaji. Pia alielezea maneno yaliokuwa yakitumika msituni humo kuangamiza waumini wa kanisa lililoongozwa na mhubiri tata Paul Mackenzie. Enos amanya amekiri makosa 191 ikiwemo kuhusika katika mauwaji ya watoto wake wawili na kuwa alihudumu kama mchimba kaburi na afisa wa usalama msituni. Na kama anavyoarifu Francis Mtalaki, Jaji Diana Mochache ameagiza upande wa mashtaka kuandaa ripoti ya historia ya mshukiwa huyo kabla ya kutoa hukumu yake februari mosi.