Skip to main content
Skip to main content

Familia eneo la Umoja yalilia haki ya mwana wao aliyefariki baada ya kichapo katika eneo la burudani

  • | Citizen TV
    9,988 views
    Duration: 2:44
    Familia moja mtaani Umoja hapa Nairobi inataka maafisa wa upelelezi kumkamata mshukiwa anayesemekana kumvamia mwana wao eneo la burudani, kumchapa na kisha kumjeruhi vibaya. Familia ya Alphy Migasha inadai mvulana huyo alifariki akipokea matibabu hospitalini ila polisi hawajamkamata mshukiwa.