Skip to main content
Skip to main content

Oburu: Tunawakaribisha waasi wa odm warudi chamani

  • | Citizen TV
    1,557 views
    Duration: 1:35
    Kinara wa chama cha ODM Oburu Odinga Na viongozi wengine wa chama hicho wamesistiza kuwa wako radhi kufanya mazungumzo mapya na chama tawala cha UDA na kuwaunganisha wanachama wote.