- 535 viewsDuration: 2:57Sekta ya afya nchini inakabiliwa na migogoro inayoendelea kutokota. Siku moja tu baada ya wauguzi wa Kaunti ya Nairobi kugoma wakidai mishahara yao, Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi umetangaza ilani ya siku saba kwa serikali kufanya mazungumzo nao lau sivyo wauguzi wote watagoma . Na kama anavyoarifu mary Muoki, haya yanajiri huku huduma za afya katika kaunti ya nairobi zikilemaa, maafisa wa kliniki kote nchini wakisitisha huduma.