- 9,293 viewsDuration: 7:05Mabaki ya ndovu mkuu maarufu, CRAIG wa mbuga ya Amboseli kaunti ya Kajiado, yatahifadhiwa na kuonyeshwa kwa umma. Kulingana na maafisa wa KWS, mchakato wa kuhifadhi mabaki hayo kwa kemikali maalum unaendelea. Craig alikuwa miongoni mwa ndovu wakuu wachache mno waliosalia barani na alikuwa na pembe au magego yenye uzani wa zaidi ya kilo 100. Brenda Wanga anaarifu zaidi kuhusu tembo huyo wa kipekee aliyewahi kuishi