Sekunde 100 za habari ya BBC ilivyokwenda tofauti na ilivyopangwa

  • | BBC Swahili
    678 views
    Shirika la utangazaji la BBC limetimiza miaka 100, lakini sio kila kitu kilikuwa kikienda kama ilivyopangwa hewani matukio mbalimbali yametokea kuanzia wanahabari kutishiwa na mbuni hadi kukatishwa hewani na wapita njia. #bbcswahili #bbc100 #utangazaji