Washindi wanne wa Shabiki Jackpot Mbao watuzwa

  • | Citizen TV
    510 views

    Washindi wa shilingi milioni ishirini na moja katika shindano la Shabiki Jackpot Mbao juma hili wametangazwa. Peter Wanjiru amabaye ni mchuuzi kutoka Kikuyu, Isaih Meki kutoka Kitale, Robert Oigo kutoka Eldoret na David Tanui kutoka Kuresoi wamepokekwa hundi ya pesa hizo katika hafla ya kufana.