- 20,777 viewsDuration: 1:32Mwanaume kutoka Kitale aliyeanzisha Jaribio la kukumbatia Mti kwa Saa 120 ili kuonyesha kuwa hana uwezo wa kulipia karo ya binti yake kujiunga na Shule ya St Joseph's Girls, gredi ya 10, amelazimika kukatiza azma yake baada ya kufurushwa na wakazi wa Kitale.