- 300 viewsDuration: 3:18Vijana katika kaunti ya Uasin Gishu wametangaza mikakati ya kupambanana na watengenezaji pombe na wale wanaojihusisha na uuzaji wa mihadarati eneo hilo. Vijana hao wamesema ni wajibu na jukumu lao kujitokeza kupambanana na janga hilo linaloangamiza kizazi chao.