- 823 viewsDuration: 1:40Chama cha uda leo kimetangaza orodha ya wagombea wake katika chaguzi ndogo zitakazo andaliwa katika maeneo kadhaa humu nchini mwezi februari. Chaguzi hizo zinahusu eneo bunge la isiolo kusini miongoni mwa maeneo ya uwakilishi wadi huku maafaisa wa chama hicho wakitazamia ushindi.