- 628 viewsDuration: 1:15Tume ya huduma za mahakama imewateua wanasheria 15 kuwa majaji wa mahakama ya rufaa nchini. Miongoni mwa walioteuliwa baada ya mahojiano yaliyokamilisha hapo jana ni pamoja na mwenyekiti wa sasa wa halmashauri ya utendakazi wa polisi IPOA Issack Hassan ambaye pia aliwahi kuhudumu kama mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini. Wakili wa Rais Katwa Kigeni na Jaji wa mahakama kuu Chacha Mwita pia ni miongoni mwa 15 walioteuliwa. Rais William Ruto akitarajiwa kuongeza idadi ya majaji wa rufaa kufikia 42