Skip to main content
Skip to main content

Bandari Fc wana wiki ya muhimu wakicheza mechi tatu ndani ya siku saba

  • | Citizen TV
    216 views
    Duration: 38s
    Bandari Fc wana wiki muhimu kuanzia jumamosi, ambapo watacheza mechi tatu ndani ya siku saba, mechi ambazo zinaweza kubaini kwa kina msimu wao. Huku mkondo wa pili wa ligi kuu ya Kenya ukianza jumamosi, bandari wanatarajiwa kufaidika na kucheza mechi mbili za nyumbani kwa wiki moja na kuboresha nafasi yao ya kumi kwenye ligi