Skip to main content
Skip to main content

Ruto: kazi bila uwoga

  • | Citizen TV
    946 views
    Duration: 1:30
    Rais william Ruto amesifia mipango mbalimbali iliyoanzishwa na serikali yake akisema kuwa imefanikishwa kwasababu hakusikiza wakosoaji na wale ambao hawakuwa na imani na ruwaza yake. akizungumza wakati wa kuzindua mpango wa kuwapa ajira waliofuzu katika vyuo vikuu, rais ruto amesema kuwa mafanikio chini ya uongozi wake hayangeafikiwa iwapo angekuwa mwoga au mtu wa kuyumbishwa na kelele za wapinzani wake. Rais amesema kuwa wanafunzi waliofuzu vyuoni watapata kazi katika mradi wa ujenzi wa nyumba nafuu , ambapo ni mojawapo ya mikakati inayowekwa na serikali kubuni nafasi zaidi za ajira.