- 224 viewsDuration: 1:09Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amewataka wanakandarasi na wamiliki wa mijengo kuwajibika na kutotumia njia za mkato zinazochangia kuporomoka kwa majengo nchini. Kindiki amesema ukiukaji wa sheria umehatarisha maisha ya wakenya na kulemaza maendeleo. onyo la kindiki linajiri kufuatia visa vya maporomoko ya majengo jijini Nairobi kama ilivyoshuhudiwa katika mitaa wa Karen ya South C.