Skip to main content
Skip to main content

Vitambulisho bila vikwazo

  • | Citizen TV
    293 views
    Duration: 1:14
    Maafisa wote wa utawala katika kaunti ya isiolo wamepata hamasa kuhusu utoaji wa vitambulisho vya taifa kufuatia agizo la rais william ruto la kufutilia mbali kamati za uhakiki wa raia kabla ya utoaji w avitambulisho. Akizungumza baada ya kuongoza zoezi hilo, katibu mkuu katika idara ya uhamiaji dkt.belio kipsang, amesema kuwa jukumu la kubaini wanaostahili kupewa vitambulisho sasa liko mikononi mwa machifu na manaibu wao, ambao wanaishi na kufahamu vyema familia na jamii za wakazi wa eneo hilo.