- 159 viewsDuration: 3:01Tatizo la ukosefu wa maji Katika Kisiwa cha Manda kaunti ya Lamu limedumu kwa muda mrefu sasa .Hii ni kutokana na eneo hilo kukosa kuwa na visima wakaazi wakitegemea kuchota maji kutoka Kisiwa cha Amu yanayosafirishwa kwa maboti…..