- 177 viewsDuration: 3:24Wataalamu wa elimu na chama cha walimu nchini, katika Kaunti ya Trans Nzoia, wanataka shule za sekondari ya juu kuwezeshwa kwa vifaa vya masomo wakisema hatua hiyo ni nguzo muhimu katika utekelezaji wa Mtaala wa CBE. Kulingana na wataalamu hao, vifaa shuleni vitawasaidia wanafunzi kupata masomo waliochagua ili kuwaelekeza katika tasnia tofauti mbali na huwajengea ujuzi wa utakaowasaidia naishani na katika vyuo vikuu. Collins Shitiabayi na taarifa hiyo.