Skip to main content
Skip to main content

Vyama vya Ushirika

  • | Citizen TV
    154 views
    Duration: 1:50
    Kamishna wa vyama vya ushirika nchini david obonyo amesema kuwa serikali imeanza kurejesha fedha zilizofujwa katika sakata ya muungano wa vyama vya ushirika kuscco. Akizungumza huko mombasa. Obonyo amesema serikali inalenga kurejeshwa kwa zaidi ya bilioni moja mwaka huu,baada ya kuuzwa kwa baadhi ya mali za wanaotuhumiwa kufuja pesa za vyama vya ushirika. Hatua hiyo inakisiwa kuwa itaboresha imani ya wanachama huku serikali ikiweka mikakati zaidi ya kuziba mianya ya ufisadi.