Rishi Sunak: Waziri Mkuu wa Uingereza ni tajiri kiasi gani?

  • | BBC Swahili
    2,096 views
    Wakati Rishi Sunak akiapishwa kuwa waziri mkuu wa kwanza wa Uingereza mwenye asili ya Asia na Mfalme Charles III, watu wengi wanalinganisha utajiri wao. Lakini tunajua nini kuhusu fedha za Waziri Mkuu mpya wa Uingereza? Tazama #bbcswahili #uingereza #mfalme