Skip to main content
Skip to main content

Wafanyikazi wa nyumbani walalamikia unyanyasaji

  • | Citizen TV
    2,314 views
    Duration: 7:47
    Zoezi la kuchukua maoni kutoka kwa wafanyikazi wa nyumbani ili kubadili sheria ya mazingira bora ya kufanyia kazi limeng'oa nanga huko mombasa. Shirika la leba duniani linashinikiza kutekelezwa kwa mapendekezo ya kongamano la 189 na 190 kuhusu unyanyasaji na dhulma kwa wafanyakazi wa nyumbani.