Skip to main content
Skip to main content

Tetesi za ardhi Narok

  • | Citizen TV
    2,181 views
    Duration: 2:11
    Hali ya taharuki imetanda katika Ranchi ya Maji moto eneo bunge la Narok Kusini kufuatia mzozo wa ardhi baina ya makundi mawili yaliyokabiliana vikali kwa silaha butu na kuwaacha baadhi yao na majeraha. Katika kisa hicho, mali ya thamani nyingi iliharibiwa.aidha magari, na nyumba ziliteketezwa wakati wa tukio hilo. wakazi wanadai kuwa kesi hiyo ilitatuliwa na korti lakini ufisadi umesalia kuwa kikwazo, wakisema kuwa bwanyenye mmoja anataka kunyakua ardhi hiyo. Swala la ugavi wa ardhi hiyo limesalia kuwa tata. .