- 157 viewsDuration: 3:25Kina mama wajawazito kutoka jamii za wafugaji kaskazini mwa nchi, wamehimizwa kusaka huduma za kujifungua hospitalini ili kukomesha vifo. Umbali wa vituo vya afya umetajwa kuchangia hali hiyo na kusababisha kina mama wanapojifungua na watoto kufariki. Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka samburu.