- 14,521 viewsDuration: 57sMeya wa Minneapolis, Jacob Frey, ameeleza kuwa amefanya mazungumzo na Rais wa Marekani Donald Trump na kumtaka asitishe operesheni za maafisa wa uhamiaji. Operesheni hizo zimegubikwa na maandamano makubwa, ukamataji wa watu wengi na mauaji ya raia wawili. Rais Trump naye amethibitisha kuwa mazungumzo hayo yameanza kuleta matumaini. @roncliffeodit anaangazia hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #marekani #DonaldTrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw