- 253 viewsDuration: 3:06Wanafunzi kutoka familia maskini kaunti ya Kajiado wako tayari kujiunga na gredi ya kumi baada ya harambee iliyoandaliwa na jamii kukamilika. Harambee hiyo ambayo imefanywa kwa miaka minane sasa imekusanya shilingi milioni 17. Na kama anavyoarifu brenda wanga, mamia ya familia kaunti hiyo sasa wanaweza kushusha pumzi.