- 8,369 viewsDuration: 3:05Huenda zaidi ya nusu ya wabunge ambao wanahudumu kwa sasa wakakosa kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula akifichua kwamba ripoti ya hivi punde imeeleza kwamba asilimia 56 ya wabunge hukosa kuchaguliwa kwa muhula wa pili mfululizo. Wetangula amewarai wabunge kujikakamua zaidi bunge likitarajiwa kurejelea vikao vyake mwezi ujao.