- 120 viewsDuration: 1:29Wanainchi zaidi ya 4000 kutoka kaunti ya Kitui wamenufaika na chakula cha msaada ambacho kimetolewa na katibu katika wizara ya kilimo na ustawishaji wa mifugo Jonathan mueke. Akiongea na wanainchi wakati wa kupeana chakula cha msaada mueke alisema kwamba selikali inaendelea kusaidia vikundi vya kina mama pamoja na vijana kwa kuwasaidia na mizinga ili waweze kufuga nyuki na kupata mapato kutoka kwa asali badala ya kutegemea tu kilimo kinachohitaji maji au mvua. Mbali na chakula, Mueke pia aliwasilisha mizinga mia moja kwa kina mama