19 Aug 2025 7:44 pm | Citizen TV 365 views Duration: 1:10 MABINGWA WATETEZI ABDI NAGEEYE WA UHOLANZI NA SHEILA CHEPKIRUI WA KENYA WANAONGOZA SAFU ILIYOJAA WANARIADHA WALIOBOBEA AMBAO WAMETHIBITISHWA KUSHIRIKI MBIO ZA NEW YORK MARATHON ZA MWAKA WA 2025 TAREHE 2 NOVEMBA