Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke bomba | Mama wa Kaptembwa anayeinua vijana kupitia sanaa na elimu

  • | Citizen TV
    853 views
    Duration: 4:05
    Magdalene khaemba anatumbulika katika mtaa wa kaptembwa huko nakuru kutokana na juhudi zake za kuwasaidia vijana kujishugulisha na kazi na shughuli za kuwezesha kujikimu kimaisha kama vile kandanda, usakataji densi, ufundi na biashara mbalimbali.Anayafanya haya yote kwa lengo la kuwasaidia vijana kujiepusha na magenge ya uhalifu na utumizi wa dawa za kulevya.Aidha amewasaidia vijana wengi walioacha shule kwa kukosa karo kurejea shuleni. katika makala yetu ya mwanamke bomba wiki tunamuangazia mama huyo mwenye watoto wawili ambaye pia amekuwa mama wa wengi kutokana na harakati zake za kuwainua kimaisha vijana huko nakuru