Waziri wa elimu Julius Ogamba amesema wizara ya elimu bado haijachambua kikamilifu kubaini kiasi cha fedha kinachohitajika kumwelimisha mwanafunzi kutoka gredi ya kwanza hadi chuo kikuu. Ogamba alikuwa akijibu maswali ya wabunge kuhusiana na gharama ya juu ya elimu nchini. Kwenye kikao na wabunge wanaoenndelea na warsha yao mjini Naivasha, Dkt. Ogamba hata hivyo, alisema serikali imepunguza ada za shule ili kudhibiti nyongeza zisizokuwa za kisheria.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive