- 89 viewsDuration: 2:00Huduma za afya katika hospitali za umma kote nchini zinatarajiwa kurejea kikamilifu katika kipindi cha saa 24 zijazo baada ya baraza la magavana na chama cha kitaifa cha matabibu kusaini mkataba wa kurejea kazini na kufikisha kikomo mgomo wao wa siku 36. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive