- 445 viewsDuration: 2:29Muungano wa upinzani umeeleza kutoridhishwa na utaratibu unaoendelea wa ununuzi wa vifaa vya uchaguzi mkuu ukisisitiza kwamba kampuni ya Smartmatic haipaswi kushiriki katika mchakato huo. Wakati wa mkutano na maafisa wakuu wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, viongozi wa muungano wa upinzani wakiongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka walisema wameanza mashauriano mapya na tume ya IEBC kwa lengo la kuimarisha imani katika mfumo wa uchaguzi. pande zote mbili zilikubaliana kuendelea kushirikiana kupitia mazungumzo kubuni kundi la kiufundi kuchunguza masuala yaliyoibuliwa na kupendekeza suluhisho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive