Skip to main content
Skip to main content

Bandari ya Mombasa yasajili ongezeko la shehena ziliongia nchini mwaka 2025 kwa asilimia 10.9.

  • | Citizen TV
    274 views
    Duration: 1:46
    Bandari ya Mombasa imesajili ongezeko la shehena ziliongia nchini mwaka 2025 kwa asilimia 10.9. Mkurugenzi mkuu wa bandari kapteni William Ruto amesema kuwa ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mizigo inayoelekea mataifa jirani. Hata hivyo halmashauri ya bandari imekiri kukumbwa na changamoto ya mrundiko wa makasha na kutangaza baadhi ya mikakati ikiwemo baadhi ya meli kuelekezwa katika bandari ya lamu na upanuzi wa bandari ya mombasa