Skip to main content
Skip to main content

Uuzaji wa hisa za Safaricom

  • | Citizen TV
    170 views
    Duration: 1:15
    Katibu wa hazina ya kitaifa Dkt. Chris Kiptoo amesema serikali iko tayari kupokea mnunuzi tofauti atakayeleta bei ya juu zaidi ya hisa za safaricom. Wizara hiyo imesema bei ya shilingi 34 kwa hisa ndiyo bora zaidi sokoni. Baadhi ya wabunge wanaopinga uuzaji huo waliibua maswali kuhusu mustabali wa kampuni hiyo ikiwa itauzwa.